Barama Komaji
Barama Komaji
February 25, 2025 at 06:48 AM
AMKENI AMKENI Wasikie wakazi .... jijini Dar es salaam **MBAGALA RANGI TATU * Wakizungumzia kuelekea katika Mashindano Makubwa zaidi ya Qur’aan Tukufu ya Mabara Yote Ulimwenguni, yanayoandaliwa na Al-Hikma Foundation chini ya usimamizi wa @SheikhNurdeenKishk . Yatafanyika tarehe 16/03/2025 Uwanja wa Mkapa *Ndani ya Ramadhaan* Dar es Salaam Tanzania . *QUR’AAN IMA IKUNYANYUE AU IKUBWAGE, TWENDENI IKATUNYANYUEEE* . *NAOMBA USAMBAZE* 👏
😮 1

Comments