
Barama Komaji
February 28, 2025 at 03:50 AM
*BADO SIKU 16. KUELEKEA MASHINDANO MAKUBWA ZAIDI YA QUR’AAN TUKUFU ULIMWENGUNI*
Yanayoandaliwa na Al-Hikma Foundation chini ya usimamizi wa @SheikhNurdeenKishk
.
Yatafanyika tarehe 16/03/2025 Uwanja wa Mkapa *Ndani ya Ramadhaan* Dar es Salaam Tanzania
Mjue Mshiriki kutoka Nchini Uganda 🇺🇬
ABDALLAH MINSHAWI
.
*QUR’AAN IMA IKUNYANYUE AU IKUBWAGE, TWENDENI IKATUNYANYUEEE*
.
*NAOMBA USAMBAZE* 👏
❤️
1