Barama Komaji
March 1, 2025 at 08:12 AM
SHEIKH MUHARAM MWAITA
MKURUGENZI AFRIKA TV 2 SWAHILI TANZANIA 🇹🇿
Anawaalika katika Mashindano Makubwa zaidi ya Qur’aan Tukufu ya Mabara Yote Ulimwenguni, yanayoandaliwa na Al-Hikma Foundation chini ya usimamizi wa @SheikhNurdeenKishk
.
Yatafanyika tarehe 16/03/2025 Uwanja wa Mkapa *Ndani ya Ramadhaan* Dar es Salaam Tanzania
.
*QUR’AAN IMA IKUNYANYUE AU IKUBWAGE, TWENDENI IKATUNYANYUEEE*
.
*NAOMBA USAMBAZE* 👏
@barama_komaji