Barama Komaji
Barama Komaji
March 1, 2025 at 06:14 PM
OMAR ASHRAFU MZIRAI MHASIBU HOSPITALI YA RUFAA YA MLONGANZILA. Anawaalika katika Mashindano Makubwa zaidi ya Qur’aan Tukufu ya Mabara Yote Ulimwenguni, yanayoandaliwa na Al-Hikma Foundation chini ya usimamizi wa @SheikhNurdeenKishk . Yatafanyika tarehe 16/03/2025 Uwanja wa Mkapa *Ndani ya Ramadhaan* Dar es Salaam Tanzania . *QUR’AAN IMA IKUNYANYUE AU IKUBWAGE, TWENDENI IKATUNYANYUEEE* . *NAOMBA USAMBAZE* 👏 @barama_komaji
❤️ 1

Comments