
SHULE YA MSINGI CHAMALENDI
February 2, 2025 at 10:09 AM
Hakimu mkazi mahakama ya mwanzo iliyoko Kijiji Cha chomachankola ndugu SAIMONI MALIMA akitoa Elimu ya Sheria,haki na wajibu kwa wanafunzi na walimu hii ni kuadhimisha wiki ya Sheria
🔥
1