
MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
February 23, 2025 at 05:58 AM
TANGAZO
Idara ya Ajira Jimbo Katoliki Same inawatangazia nafasi ya kazi ya ualimu Kwa masomo yafuatayo:
1. Physics
2. Maths
3. Chemistry
4. Biology
5. Engl. Language
6. Kiswahili.
7. Business Studies
8. Book keeping
Basi kwa anayetaka kupata fursa hii atumemaombi yake kwa email hii [email protected].
Zingatia yafuatayo:
1.Ambatanisha vyeti vyako vyote pamoja na barua yako ya maombi kisha utapokea ujumbe mfupi wa mwaliko wa usaili baada ya barua na vyeti vyako kupokelewa.
2. Utakapo alikwa kwenye usaili fika na vyeti vyako vyote original copy kwa uhakiki.
3. Msailiwa atakapo itwa kwa usaili atajitegemea kwenye gharama zote zinazomuhusu.
4. Tarehe ya usaili ni 27/2/2025 mahali ni Mkomazi Stop Over Garden Same.Tuma maombi Yako mapema kabla ya tarehi 25/2/2025 na atakaye chaguliwa kwa usaili atajulishwa.
Mwl. Laurenti Kikwesha
Kwa niaba ya mwenyekiti kamati ya Ajira Jimbo Katoliki Same.
🙏
1