MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
February 23, 2025 at 09:06 AM
Habari za kazi Mama Ryan.
Kuna nafasi ya kazi, anatafutwa mhasibu wa kike mwenye uzoefu kwenye "hospitality industry". Kituo cha kazi ni Arusha mjini. Maombi yatumwe kwa email: [email protected]
Au apige simu namba 0785175965
Asante sana Dadaangu na Mungu akubariki.