MACADAMS JOB OPPORTUNITIES
February 26, 2025 at 07:11 AM
Hello habari,
Naomba unisaidie nahitaji mdada anayejua kufanya kazi na shughuli zote za stationery. Awe na sifa zifuatazo:-
- Awe na umri 18-25
- Awe anaishi *Kahama*
- Awe anajua kutengeneza passport size na kuprint
- Elimu walau kuanzia form four
- Awe na uzoefu Wa kufanya Kazi hii Kwa Muda usiopungua Miaka miwili 2
Ofisi ni mpya kabisa, mshahara maelewano
Anicheck WhatsApp 0719732578
😂
1