
THE JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
February 28, 2025 at 09:15 PM
❤️CARL & LARA❤️
Chapter 04♥️~
Me : Aii🤦..hio itakua ngumu kiasi
Lara : Sawa wacha basi watu wajue ulikua unaiba simu ya wenyewe
Me : Relax Lara hebu tuelewane kwanza about this🙂
Lara : Of course nitakulipa relax hata sijamaliza..so by kesho ukue ready dress decent na sio official sana nataka ukae bad boy hivi na ukae mse ako na pesa pesa..do you know ho to drive?
Me : Noo
Lara : Ooh my God i have wasted my money..hebu amka
Me : Tunaenda wapi tena
Nikafata nyuma mbio toja ilikua inanguka hado mshipi inararuka🤦. Kukua broke thoo💔. Kumbe amepack Mercedes baridi hapo kando. Tukaingia ndani
Lara : I want you to drive
Me : Sijui..sijai
Lara : Just drive
Kisubmarine nikasema i gat this. Shetani naye ni nani akasema wacha nikatese asa😂. Dinga ilifly kidogo ipite na mama mboga ikabidi Lara ashike emergency. Alinifunza kudrive hadi usiku nikashika kiasi😂
Lara : Kesho wewe ndo utanidrive huko and remember what we have agreed..nataka tufike boutique tubuy kila kitu yenye utavaa na ukimaliza unariuidsha ju nakulipa..
Me : Poa
Lara : Unajua kuongea English fluently
Me : Yeah of course 😂
Lara : What's funny?😒
Me : Nothing 🙂
Lara : Ukifika huko try to touch me just pretend wewe ni boy wangu..jokes mbili tatu hivi hebu kuja tufanye rehearsal
Tukatoka nje ya dinga. Mambo ikachemka. Kisubmarine nikasahau huyu ni boss nikamshika boobs 🙆
Lara : Whaaat..wewe🫵🫵..tutakosana sahi haikua ifike hapo
Me : Sikua najua Lara take me slow
Tukaingia boutique nikabuyiwa kila kitu hadi watch😂. Sneakers akabuy za 5k ogopa😂. Leo ni kama niliamka vizuri 😂🔥. Spray nikashikiwa pale nisinuke jasho kwa sherehe ya wenyewe😂
Lara : Then tukifika huko don't be talkative unaweza sahau uropoke
Me : Noted
Lara : Alafu nikisema kitu yoyote ya uongo ukubali..like nikisema last week you took me to Dubai ukubali sawa?
Me : Poa.....
TO BE CONTINUED 🔥
*@veetheteller*
❤️
👍
😂
4