
THE JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
March 1, 2025 at 06:56 AM
♥️ SECRETS ♥️
SN02
Chapter 08🦋
Mathe kuitwa lecturer nikajua kiundercover tumejileta crime scene💔. Buda wa huyu mse macho ikageuka red kama indicator za Mercedes. Hapa nikajua mathe ameniingiza pabaya na atashindwa kutoka. Nikachill niskie pia hii maneno
Mama Ryan : Surprise gani tena my son?
Ryan : Unajua fahm hii college life haijakua rahisi... sometimes nilikua nakosa doo za kulipa bills but Sandra here was there for me..she was giving me everything
Ryan's Dad : Ryan ni nini ulikua unakosa tho?..we used to give you everything..mbona haukua unacall kusema umeshindwa kulipa bills?🤔
Mama Ryan : Ooh that's soo generous Sandra..lakini sasa Sandra ni nani kwako like i don't understand?
Ryan's siz : Ooh bro you mean your lec Sandra here used to do all that.. that's great
Sandy : Actually thank you so much lakini mimi sio lecturer hehe😊..mimi na Ryan tumetoka mbali sana.. Ryan can you tell your parents about us😊
Ryan's siz : Us???..bro ni nini inahappen 😏
Ryan : Actually mum sijui mtanichukulia aje lakini Sandra and I are lovers😟..she has been there for me mum na pia unajua we live in a modern world age is just a number
Mathe aliweka mikono kwa kichwa akapea kijana wake kibare moja intercontinental hadi gown ikararuka ikabiki vitambaa ungethani amevaa kitenge💔. Mzee alitoa koti akaniwekea kwa mabega ungethani anadai kuingia hassle nikajua leo naweza toka hapa kama kiatu moja haiko kwa mguu💔
Ryan's siz : Whaaat😟..bro surely hii ni matharau gani unaweza tufanyia on your graduation😟
Ryan's Dad : Huyu mwanamke mkubwa rika yangu ananiharibia mtoto niwacheni nimumalize
Sandy alikua amerushiwa kofi flani mzito imekula sembe ya kisiagi ya ushago nikaruka ikanipata kwa shingo kidogo nikue bubu💔. Mathe aliponea. Wasee wote wakaanza kujaa hapo wajionee entertainment ya graduation💔. Ilibidi nihepeshe mathe kwa crime scene ju wasee wa media walikua wameland na cameras. Tulijipata pabaya ikabidi tuhepe. Koti ya mzee nilitupa kama nimetoka💔. Nikakimbisha mathe hadi kwa dinga. Nilikua nimefura shingo ungethani niko na goiter💔. Hakuna kubonga nilitoka na dinga mbio hadi nje ya gate. Nilikua naspin wheel 120km/30 minutes dinga inachomoka hadi inafly kwa bumps ungethani ni ile game ya need for speed inakua launched 🚗. Kuangalia mathe mashavu side ya left imejichora kofi kumbe mzee alikua anarusha kofi mbili at once moja ikapata mathe. Alikua amefura uso hadi akafanana Simon wake💔. Speedometer ilizima nikajua dinga ya kampuni itageuka Tuktuk. Tulisimamia tao kwa chemist.
Sandy : Carl I'm really sorry sikujua ingekua hivi
Me : Mum hata heri ungenishow nikue ready nitembee hata na double edged yangu
Sandy : Double edged ndio nini ten?..ya nini?
Me : Double edged ni kisu imenolewa both sides
Sandy : Alaa kwani tungekua tunaenda kuchi°nja watu?
Me : 😏😏😏
Sandy : I'm really sorry najua umejam lakini hio story isitoke nje Carl nita aibika sana💔. Nikadrive nimdrop karibu kwake. Kiasi hivi nacheki mse huko mbele anasmamisha dinga💔. Kufika hapo napata ni Steve💔
Steve : mum🤔
Sandy : Yes son
Steve : Dad has been complaining ati unatoka na huwezi sema
Sandy : Aah wewe nawe na huyo babako unaniboo..enda umwambie anifunge kengele kwa mguu kama ng'ombe ya kienyeji ndo nikipotea afate sauti😏..Carl ni drop hapa see you on Monday
Steve : Mum what's wrong na mashavu yako?.. What happened?
Sandy akachomoka akaishia💔. Nikabaki kwa noma.
Steve : Buda where are you coming from with my mum?.. what's going on between you and my mum🤔
Me : Nothing man hata natoka sahi kumpick
Steve : Alaa nacheki pia wewe umefura?..kwani what's going on bro talk to me
Me : Nothing man
Nikachomoka nikawacha akiishia kwao. Nikadrive hadi kwa hao. Kuingia hivi napata Stesh ametapika bedroom mzima💔.
TO BE CONTINUED 🔥
*@veetheteller*
😂
1