THE  JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
THE JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
March 1, 2025 at 06:09 PM
❤️CARL & LARA❤️ Chapter 06♥️~ Nikafika bathroom nikapata kuna ile bathing tab na hot water 😂. Nikatawala ni kaa ni kwangu manze😂😂🫵. After shower nikadishy spaghetti na kuku flani fry pale nikaletewa juice na nikapewa password ya wifi😂. Nikapiga rehearsals solo kiasi then nikapanda bedroom huyu sini mungu jameni😂. The next day kidogo nichome nilale sana😂. Nikaskia alarm kaa nimeamka. Lara : Good morning Me : Good morning lara😊 Lara : Haya haya faster we take our breakfast then tutoke.. na hukunishow unadai how much Me : 10k will do Lara : Mmh I'll give you 40k kwani hujipendi?.. don't you see that nakununua kwani value yako ni 10k alaa wee nawee ni wa wapi..but nakupea deposit ya 20k kwanza..ukifika huko uharibu mambo sitakumalizia pesa so do your best Me : Sawa After breakfast mkuu nikadrip vibaya sana hio sector sibahatishi ni pesa tu zinaleta hitilafu😂. Lara : Wow look at you..hata mtu hawezi jua jana you almost committed a crime 😂😂 Me : 😂😂 Lara : 😒 Me : 🙂 Lara : Unaniangalia aje ivo let's go Tukaingia kwa dinga. Nilikua nadrive pole pole mngeniona mngeisha😂💔. Tukatoka tukaishia. So alikua ananipea tu direction. Tukafika nje ya a one large hotel. Kwanza nikaona wazungu wameshona na ma Range Rover nikatii🚙. Kupack gari nilitumia Karibu 30 minutes😂. Kwa gate ilikua imeandikwa " COUPLES DAY OUT" TO BE CONTINUED 🔥 *@veetheteller*
😂 👍 4

Comments