GLOBIFY
GLOBIFY
February 20, 2025 at 05:56 AM
*GLOBIFY PROCUREMENT* Karibu Katika Group Hili Bora La Manunuzi📢🛍️ Hili Ni Group Maalum Kwa Ajili Ya Uelimishaji Kuhusu Masuala Ya Manunuzi. Tunashirikiana Kujifunza Na Kubadilishana Maarifa Kuhusu: ✅ Mbinu Bora Za Manunuzi Na Usambazaji Wa Bidhaa. ✅ Sheria Na Taratibu Za Ununuzi Kwa Taasisi Na Biashara. ✅ Namna Ya Kupata Wauzaji Wa Kuaminika Na Kufanya Maamuzi Sahihi Ya Ununuzi. ✅ Mabadiliko Ya Soko Na Mbinu Za Kushindana Kibiashara. Jiunge Nasi Leo Ili Kuongeza Maarifa Yako Na Kuwa Mnunuzi Bora! 🚀 👉 https://chat.whatsapp.com/Eqv8lGKeYZhCWIPKXfo6HR

Comments