GLOBIFY
GLOBIFY
February 22, 2025 at 05:03 PM
*Globify Charity* Mwenyezi Mungu ametupa mikono miwili, mmoja wa kupokea na mwingine wa kutoa kwa wahitaji. Sasa ni wakati wetu wa kutumia mikono hiyo kuwasaidia watoto wanaohitaji msaada wetu. Tunakuomba uchangie kwa hali na mali au chochote unachoweza ili kuleta tabasamu kwenye nyuso za watoto hawa. 💰Tuma mchango wako wa pesa kupitia Lipa Namba zilizopo hapo juu. 🤝Kisha jiunge nasi ili kufuatilia taarifa za Globify Charity kupitia⤵️ https://chat.whatsapp.com/BiYVpSHVGt34tTA2eMQA3z *Tuungane kwa pamoja kupitia Globify Charity na tuwe chachu kwa watoto hawa kutimiza ndoto zao🙏✨*

Comments