Kenya Ni home {X news}
Kenya Ni home {X news}
February 4, 2025 at 07:45 PM
🤔 “Upande ule mwingine ni watu hawana sera. Mpango wao ni kugawanya Wakenya,” President William Ruto says, insists those propagating the politics of division and 2027 election have lost focus. “Ya muhimu sio uchaguzi wa 2027, bali ni transformation ya Kenya. Matter 2027 will come and the people of Kenya will decide,” Ruto stated

Comments