Kenya Ni home {X news}
Kenya Ni home {X news}
February 5, 2025 at 11:04 AM
🤔 “For now, I am a leader of Kenya and I am going to lead. 2027, tutakuwa wanasiasa sisi wote na tutakutana kwa kiwanja,” President William Ruto has said. “Saa hizi, ni kujenga barabara, kuweka stima kwa nyumba, kupanga mambo ya maji, kupanga watoto wetu wasome, kuimplement Universal Health Coverage (UHC).” “Hii kazi ya kubadilisha Kenya, I promise you nitafanya kwa mapenzi ya Mungu. Nimekuwa mbunge miaka 15. Nimekuwa naibu wa war ais miaka 10. Mimi huyu ni rais. Mungu atanitisha na kitu gani?” Ruto stated.

Comments