
🟢Green Canopy Friends (GCF) 🌳🌿W/CHANNEL
May 23, 2025 at 05:41 AM
STORI FUPI 😀😅 (BY GCF)
Setting: MAZINGIRA YA KIJIJI
Name: Wajukuu Werevu
PROSPA : (anashika kichwa) 🙆🏽♂️Eeh bwana, jua kali kama tanuru!
JOE : (akiangalia upande wa shamba)🤥 Zamani hapa palikuwa na kivuli, sasa hakuna hata mti mmoja!
BABU WILLY: (anapita na fimbo yake)👨🏿🦳 Ninyi ndiyo mlikata miti ili mpate kuni... sasa hamna kivuli, hamna mvua!
PROSPA: (anaangalia juu) Babu, tufanyeje sasa?
BABU WILLY: (anatabasamu) Anzeni kupanda miti. Mti mmoja leo, maisha bora kesho.
JOE : (anapiga makofi) Green Canopy Friends tuanze sasa!✊🏿🥳
UJUMBE
"Panda mti leo, uvune hewa safi, mvua na kivuli kesho – GCF inasema, linda kijani, linda maisha!
👉 [email protected]
👉 255 (750305393)
👍
2