🟢Green Canopy Friends (GCF) 🌳🌿W/CHANNEL
🟢Green Canopy Friends (GCF) 🌳🌿W/CHANNEL
May 24, 2025 at 03:04 PM
KARIBU Green Canopy Friends (GCF) 🌍💚 Tunafurahi sana kukuona ukijiunga na familia hii ya wapenda mazingira, watetezi wa asili, na mabingwa wa mabadiliko chanya💚 GCF inaamini katika nguvu ya mshikamano wa jamii katika kutunza, kurejesha, na kulinda mazingira yetu. Kuanzia kupanda miti 🌳 hadi kuelimisha jamii 📚, tumejitoa kwa dhati kujenga Tanzania yenye kijani kibichi, safi, na yenye afya ( pamoja na dunia nzima . SABABU ZA KUJIUNGA ✅ Jifunze kuhusu uhifadhi wa mazingira ✅ Shiriki kampeni za upandaji miti ✅ Simama kwa haki ya tabiA ya nchi (global warming) ✅ Fanya kazi na vijana na viongozi wa jamii ✅ Kuwa sehemu ya harakati zenye maana kwa ajili ya mazingira ya sasa na baadae NIA YA UJUMBE ✅️Kupata wana jumuiya wengi zaidi maeneo tofauti ya Tanzania ✨️Pamoja, hatuishii kuota tu kuhusu kesho njema — *tunaijenga.* Karibu sana, rafiki wa kijani! 💪🏿💧 👉https://whatsapp.com/channel/0029Vak9FH21NCrVphLEId3k 👉https://greencanopyfriends.mystrikingly.com 👉 [email protected] 👉 [email protected] 👉 [email protected] 👉 +255 (749005393) E/Director 👉+255 (750305393) GCF LOCATION: Dodoma, Tanzania 🇹🇿 #greencanopyfriends #tufanyeduniakuwaboratena #kijanisha
Image from 🟢Green Canopy Friends (GCF) 🌳🌿W/CHANNEL: KARIBU Green Canopy Friends (GCF) 🌍💚  Tunafurahi sana kukuona ukijiu...

Comments