
GLOBIFY
June 5, 2025 at 09:54 PM
_๐๐ธ๐ฎ๐ฟ๐ถ๐ฏ๐๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ฎ ๐๐ฒ๐๐ ๐๐ฎ ๐๐น๐ผ๐ฏ๐ถ๐ณ๐ ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ถ๐๐ ๐๐๐พ_
*๐ง๐๐ป๐ฎ๐๐ผ๐ณ๐๐ฟ๐ฎ๐ต๐ฎ ๐๐ฒ๐น๐ฒ ๐ธuwakaribisha ๐ธ๐๐ท๐ถ๐๐ป๐ด๐ฎ nasi ๐ถ๐น๐ถ ๐ธ๐๐ฟ๐๐ฑ๐ถ๐๐ต๐ฎ ๐จ๐ฝ๐ฒ๐ป๐ฑ๐ผ ๐ธ๐๐ฎ ๐ท๐ฎ๐บ๐ถ๐ถ ๐๐ฒ๐๐ ๐๐ฎ ๐ช๐ฎ๐ต๐ถ๐๐ฎ๐ท๐ถ ๐ธ๐๐ฎ ๐ป๐ท๐ถ๐ฎ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ผ๐ฎ ๐บ๐๐ฑ๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐ฎ๐ฑ๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐๐ฒ๐๐ ๐๐ฎ ๐ฎ๐ถ๐ป๐ฎ ๐บ๐ฏ๐ฎ๐น๐ถ๐บ๐ฏ๐ฎ๐น๐ถ ๐ธ๐๐๐ฎ๐๐ฒ๐๐ฒ๐๐ต๐ฎ ๐ธ๐๐ถ๐๐ต๐ถ ๐ป๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ถ๐ธ๐ถ๐ฎ ๐ป๐ฑ๐ผ๐๐ผ ๐๐ฎ๐ผ ๐ธ๐ถ๐ธ๐ฎ๐บ๐ถ๐น๐ถ๐ณ๐ ๐ธ๐๐ฝ๐ถ๐๐ถ๐ฎ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐๐ฒ ๐๐ถ๐๐๐ผ ๐๐๐ฎ๐ผ ๐๐๐ฎ ๐ฌ๐ฎ๐๐ถ๐บ๐ฎ ๐๐ถ๐ป๐ฎ๐๐๐ผ๐๐ฎ๐น๐ฒ๐ฎ.*
*โ๐ฝ...Globify Charity* Ni Kundi La WhatsApp Linalojitolea Kusaidia Jamii, Hususani Watoto Yatima Na Watu Wenye Mahitaji Maalum Kupitia Michango Ya Hali Na Mali Ya Wajumbe. Kundi Hili Ni Sehemu Ya Mtandao Mpana Na Mzuri Wa Magroup Ya WhatsApp Yanayojulikana Kama *Globify*, Ambayo Yalianzishwa Na *Ndugu Issa Halili Issa* Kwa Lengo La Kuunganisha Watu Kwa Ajili Ya Shughuli Mbalimbali Za Kijamii, Kiuchumi, Kisiasa Na Kitamaduni.
Globify Charity Imefanikiwa
kuwafikia Wahitaji walio ndani ya Vituo mbalimbali Tanzania Bara na Visiwani, Vikiwemo:
1. *Kituo Cha Bibi Na Babu (BABIWA)* - Madale, Dar Es Salaam (Jan 31, 2024)
2. *Kindness Orphanage Centre* - Kijenge, Arusha (Apr 7, 2024)
3. *Irente Orphanage Home* - Lushoto, Tanga (28 Jul 2024)
4. *Islamic Yatima Foundation* - Ilemela, Mwanza (Oct 13, 2024)
5. *Salim Turky Foundation* - Kiwengwa, Kaskazini Unguja, Zanzibar (Dec 8, 2024)
6. *Tumaini Foundation* - Chang'ombe - Ihumwa, Dodoma (April 6, 2025)
*๐ปKwa sasa Globify Charity inajipanga Kutembelea kituo cha Bi Aisha Foundation kule Mkoa wa Mbeya Mwezi August 2025 Ili Kuendelea Kutoa Misaada Mbalimbali.*
Globify Charity imeweka kipaumbele Kusaidia katika:
โKutoa Vifaa Vya Malazi, Chakula, Mavazi Na Vifaa Vya Kielimu.
โKutoa Ushauri, Nasaha Na Kuimarisha Huduma Za Michezo Kwa Watoto Ili Kuchangia Maendeleo Yao Ya Kimwili Na Kiakili.
*๐ปGlobify Charity Inaamini Katika Kujenga Maisha Bora Kwa Watoto Na Jamii Kupitia Hisani, Umoja, Mshikamano Na Upendo.*
https://chat.whatsapp.com/BiYVpSHVGt34tTA2eMQA3z
*๐GLOBIFY CHARITY, LET LOVE CONNECT US๐*