
GLOBIFY
June 8, 2025 at 08:21 AM
*🟢🟡 GLOBIFY CCM 🟢🟡*
Jukwaa La Wadau, Wapenzi Na Wanachama Wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Chama Tawala Kinachoweka Mbele Kazi, Utu Na Maendeleo Ya Taifa.
🛠️ Tunahamasisha Utekelezaji Wa Ilani Ya CCM
🧑🏽🤝🧑🏽 Tunadumisha Umoja, Heshima Na Misingi Ya Mapinduzi
📚 Tunaelimisha, Tunasikiliza Na Kushauriana Kwa Maendeleo Ya Jamii
🌍 Tunaamini Katika Amani, Haki, Uwajibikaji Na Kazi Iliyotukuka
Ni Jukwaa La Kizalendo Kwa Ajili Ya Kujenga Taifa Imara Kupitia Sera Za CCM.
*🔗 JIUNGE SASA:*
https://chat.whatsapp.com/Hvk70WhGC2H5WA7Ju4wdwj
*CCM, Kazi Iendelee, Utu Udumu, Maendeleo Yawe Ya Wote.*
*GLOBIFY*