GLOBIFY
GLOBIFY
June 8, 2025 at 08:39 AM
*🟠 GLOBIFY CHAUMMA 🟠* Chama Cha Ukombozi Wa Umma, Sauti Ya Wanyonge, Tumaini La Wengi! 🍛 Ubwabwa Ndio Sera Yetu, Tunasimamia Maisha Bora Kwa Kila Mtanzania. Mtu Aliyeshiba Hawezi Kununuliwa, Hawezi Kudanganywa, Na Atapiga Kura Kwa Uelewa, Ujasiri Na Ustawi. *🗳️ CHAUMMA* Inasimama Kwa Ajili Ya Haki, Utu, Usawa Na Uchumi Unaogusa Kila Mtu. 🤝 Tunaamini Katika Taifa Lenye Fursa Sawa, Lisiloachwa Nyuma. 🌱 Tunapigania Maendeleo Yenye Mashiko, Si Maneno Tu! 🔥 Hiki Ndicho Chama Cha Watu Wanaojua Wanachotaka – Sera Zinazogusa Tumbo Na Fikra! *🔗 JIUNGE SASA:* https://chat.whatsapp.com/ERZs2PXqPNSKASQbTU8sCM *CHAUMMA, Mtu Kwanza, Tumbo Lijazwe, Taifa Lijengwe!* *GLOBIFY*

Comments