Tanzania National Parks

Tanzania National Parks

384.3K subscribers

Verified Channel
Tanzania National Parks
Tanzania National Parks
May 14, 2025 at 11:28 AM
*Je, wajua ulinzi imara wa maliasili* ndio kichocheo kikubwa cha baadhi ya wanyama aina ya “Nocturnal grazing” kiboko akiwemo kutoka katika makazi yao na kwenda kusaka malisho nyakati za mchana na sio jua kama inavyosadikika? Kiboko akiwa miongoni mwao, nyakati za mchana ngozi yao hutoa ute maalum wenye rangi ya waridi (hipposudoric acid), unaowasidia kujikinga na miale ya jua ili kupunguza athari za kukauka kwa ngozi kwa masaa machacha kabla ya kurudi tena kwenye maji. *Hifadhi ya Taifa Katavi*, ndiyo inayoongoza Tanzania kwa kuwa na makundi makubwa ya Viboko kuanzia 10 hadi zaidi ya 30 katika kundi moja, huku Viboko hao wakionekana kwa wingi nyakati za mchana wakisaka malisho na kubarizi kando kando ya mto Katuma. *Hifadhi ya Taifa Katavi ndio Hazina ya Viboko nchini*.
Image from Tanzania National Parks: *Je, wajua ulinzi imara wa maliasili* ndio kichocheo kikubwa cha baadh...
👍 🙏 ❤️ 😂 😮 13

Comments