
Tanzania National Parks
May 22, 2025 at 07:18 PM
📌Bustani ya Mungu 🪻
👉Hifadhi ya Taifa Kitulo ni mahali ambapo anga huinama na kuibusu ardhi, maua huzungumza kwa rangi, na upepo huimba nyimbo za upendo.
👉Eneo hili halina kelele za magari, bali kuna sauti ya asili inayokukaribisha kupumua kwa amani. Eneo tulivu lililofichwa na milima inayovutia, penzi halisi la mtu anayejua thamani ya utulivu.
📌Tembelea Hifadhi ya Taifa Kitulo ufurahie madhari ya kuvutia upate ushuhuda halisi ya umbaji wa Mungu na uzoefu usiosahaulika

❤️
👍
🙏
😂
29