UFUNDI KITANDANI❤️👙😍
UFUNDI KITANDANI❤️👙😍
June 7, 2025 at 06:23 PM
KIJUE KILELE CHA MWANAMKE KIKOJE:. Jana niliacha andiko hapa Facebook kwenye ukuta wangu likielezea juu ya Tukio la Mwanaume kupiz ama tendo lile la kutoa manii ambalo Kibiolojia halizidi sekunde sita tu. Sasa yalikuja maswali kutoka kwa Wanaume kwa wanawake yakinitaka nitoe ufafanuzi wa je kwa Mwanamke limekaaje pia?. Sasa iko hivi.. Jibu la maswali yao ni kwamba kwa Wanawake jambo la kilele hutofautiana kutoka Mwanamke mmoja hadi mwingine hili unapaswa ulifahamu. Na hutofautiana kwa sababu za kisaikolojia, kimwili na kihisia pia, Hata hivyo, kuna baadhi ya mambo ya msingi yanayojulikana kisayansi na kijamii kuhusu masuala haya kuhusu Mwanamke. Kwanza je ni wakati gani mwanamke hufurahia tendo la ndoa? majibu yake ni kama ifuatavyo karibu uongeze uelewa juu ya Mwanamke.👇 Mwanamke hufurahia tendo la ndoa zaidi wakati yafuatayo yakizingatiwa: 1. Anapokuwa tayari kihisia na kimwili: ------------------------------------------------------ Wanawake wengi huhitaji maandalizi ya kutosha ya kimapenzi kama kuzilamba na kuzinyonya Chuchu zake (foreplay), kama vile busu ( Deep kiss ), mgusano wa mwili ( linahusu love language ), na mazungumzo ya kimahaba ( lugha ya ulimi ) haya yote humwongezea Mwanamke kujiamini. Utayari wa akili na kujiamini huongeza hamu ya kufurahia tendo, Anapokuwa ametulizwa na hana msongo wa mawazo ata deliver zaidi. Msongo wa mawazo au huzuni huzuia uwezo wa kufurahia tendo la ndoa kwa Mwanamke ichukue hii na izingatie haswaa. 2. Hali ya utulivu na faragha ni muhimu: -------------------------------------------------- Kama kuna uhusiano wa karibu wa kihisia kati ya wapenzi, Kuaminiana na kuhusiana kihisia kunaongeza ukaribu na hufanya tendo la ndoa kuwa la kuridhisha zaidi kwa Mwanamke. Utulivu wa faragha unajumuisha mazingira ya kulifanyia tendo pamoja nawewe mwenyewe umejiandaaje kumpa Good sex Mwanamke wako haya ndo mahitaji ya Muhimu kuhusu utulivu. 3. Wakati wa mzunguko wa hedhi: --------------------------------------------- Baadhi ya wanawake husema wanahisi hamu zaidi ya tendo la ndoa wakati fulani wa mzunguko wao wa hedhi, hasa karibu na kipindi cha ovulation (siku 12-16 baada ya hedhi kuanza). bila shaka wanawake wa ukuta huu mtatuelezea. ✍ Je Kilele cha mwanamke humchukua muda gani?. Jibu ni kwamba Kilele cha mwanamke (orgasm) huchukua muda tofauti, lakini tafiti zinaonyesha: Huwa ni kwa wastani wa dakika 8 mpaka 20 za msisimko wa kimwili (ikiwemo foreplay) humchukua Mwanamke kabla ya kufika kileleni. Hii inamaana ya kwamba Mwanamke kutoka ameingiliwa na Mwanaume ni mpaka dk 8 hadi 20 ndipo anaweza kufika kileleni na si mala moja bali anaweza fila mala kadhaa ndani ya muda huo. Hata hivyo, kuna wanawake wanaoweza kufika kileleni haraka zaidi, na wengine huchukua muda mrefu zaidi au wasifike kabisa bila aina fulani ya msisimko (hasa wa kisimi - clitoris), na hii ndomaana Mwanaume kapewa uwezo wa kujituma nakutokuwa mbinafsi ili atumike sawasawa na Mwanamke naam tumezaliwa kwa ajili ya Wake zetu wababa jitumeni vyumbani mwenu. ✍ Je baada ya kufika kileleni, inachukua muda gani kutulia?. Baada ya kilele, mwanamke huchukua muda wa dakika chache ikizidi sana huwa ni nusu saa hutulia ndomaana hupendelea Mwanaume kubakia kifuani kwake kwanza ili kupata utulivu na kisha akuluhusu uichomoe au ushuke kifuani. Na kuna muda pia hutegemea mwili wake, mazingira, na aina ya uhusiano wa kimapenzi alio nao dhidi ya mwenza wake maana wengine hufanya ngono na sio Mapenzi. Wanaume wao zile sekunde sita ( 6 ) zikikamilika hutota na ikiwezekana hulala fofo wakati Wanawake wana uwezo wa kufika kileleni mara kadhaa mfululizo (multiple orgasms), ikiwa bado wanahisi msisimko na wako tayari kihisia. Hapa ndo unaelewa ile kati ya dk 8 mpaka 20 Mwanamke anaweza kojoa ama kufika kilel3ni hata mala tatu mpaka sita na hutegemea pia Mumewe anampa utulivu wa kiasi gani ila kama kuna nongwa nyingi kwenye mahusiano yenu sahau kumkojolesha Mkeo. Ni Muhimu Kukumbuka: Maelewano, Kuelewana ni muhimu mnoo, Mazungumzo ya wazi baina ya wapenzi kuhusu anachopenda au asichokipenda huongeza uridhikaji. Kwa hiyo tunakubaliana kwa Mwanamke ni kwamba hakuna muda kamili wa kufika kileleni au kufurahia tendo kila mtu ni wa kipekee. Japo unashauriwa ubunifu. Foreplay na utangulizi wa kihisia kwa maana ya kumsisimua Mwanamke kabla ya kumwingilia ni muhimu zaidi kwa wanawake kuliko tendo lenyewe. Ndiyo maana Mwanamke kila akijalibu anaona hakijozwi anaamua kujilidhisha mwenyewe kwani anakuwa na uhakika wa wapi aguse iwe kwa Tango, Ndizi, Karoti au Didle kwa maana ya vifaa vya kufanyia mapenzi ili tu akidhi haja ya mhemko wa mwili wake. Ila nyie kuufurahia Uumbaji wa Mungu sio lelemama unapaswa kuwa mwelevu na mwenye hekima na usisahau kuwa mbunifu.
❤️ 1

Comments