
UFUNDI KITANDANI❤️👙😍
June 9, 2025 at 08:37 AM
UMUHIMU WA KUFANYA TENDO LA NDOA BAADA YA UGOMVI.
Baadhi yetu tumekua kama vile hatujui kumaliza mambo kwaufasaha.
Leo nataka nikujuze kuhusu kufanya tendo ndoa baada ya kutofautia kidogo ndani ya nyumba.
Naanza na mwanaume maana ndio mlengwa wakulia.
Mwanaume hupaswi kumsusa mkeo pindi mnapokua mmegombana na kumsusia hadi kushiriki nae tendo la Ndoa.
Hakikisha kua unamsogelea mkeo nakumsogeza karibu kwahisia naupole.
Toa Sauti yaupole yenye maneno yakubembeleza 💖💖💖Nakuitaji mkewangu💓sogea karibu yangu mpenzi💓najua nimekosea lakini isiwe sababu yakunifanya niwempweke kwako👄👄👄👄👄💋Chombezo naomba niku..oneshe thamani yauepo wako kwangu...
Msongeze karibu naumkumbatie apate joto la kifua chako.
Hapo atapata Amani nautamuona akianza kuhema kwauhai mpya.
Usimfanye chochote kabla ya maridhiano.
Hakikisha kuaunamlainisha afikie muafaka wakukupa tunda lake...1 Wakorintho 7:
Mwanamke usichukue muda mrefu kudeka maana wapo wanaume wasiojua kudekeza hivyo ukimuona kajirudi anza kulegeza kamba zako ilisafari yenu ya nyumba kwa kitanda ianze naifanikiwe.
Usikae kimya .
Mwanamke usikae kimyaaa....huo ndio muda wako wakujieleza na kumueleza yale usioyapenda.
Ooossshii. Aaaah..mumewangu nisamehe kwakukujibu vibaya...hoooooooo...nilipitiwa tu kidogo..nakuahidi sitorudia.....aaaappoo...mumewangu ..sikupenda uliponifokea mbele za watoto nasipendi itokeee tena.
Kumbuka ni wewe Mumewangu nikupendae...doctor wa moyowangu.
💘💋💋💋💋💋💘💋💘💋💘💋💘
HAPO SHETANI HAYUPO.
FAIDA ZAKE.
👉Humaliza dukuduku moyoni.
👉Hurudisha Furaha iliopotea.
👉Humaliza kinyongo kwa kila mmoja.
👉Huleta Amani ndani ya Ndoa na ndani ya familia.
👉Huweka sawa mfumo wa presha .
Hii nikutokana na msuguano namstuko kati ya mume namke.
Pia humfanya mwanamke kujiona yupo sehem salama na hatoishi na mume kwa wasi wasi
👉Mwanzo na mwisho wa ugomvi wenu nisiri yenu.
Ujue kuwa kama hamtamaliza chumbani basi yatamalizwa na wengine huko njee.