FURSA ZA AJIRA - Opportunities Hub
June 2, 2025 at 09:06 AM
*TANGAZO LA NAFASI YA KAZI* Nafasi: Msimamizi wa Mgahawa Mahali: Mbezi Mwisho, Dar es Salaam Mshahara: *Tsh 350,000 kwa mwezi* Mgahawa unaohudumia wateja kwa haraka na kwa ubora upo Mbezi Mwisho, *unatafuta msimamizi mkali na mwenye nidhamu* kusimamia shughuli za kila siku na wafanyakazi. Majukumu ya Msimamizi: Kusimamia wafanyakazi na kuhakikisha kila mmoja anatekeleza majukumu yake Kuhakikisha usafi na utaratibu unazingatiwa kila siku Kusimamia huduma kwa wateja na kuhakikisha wanaridhika Kuweka kumbukumbu ndogo za matumizi na mauzo Kuratibu manunuzi ya bidhaa za kila siku za mgahawa *Sifa Muhimu:* Awe mkali na mwenye uwezo wa kusimamia watu Awe na uzoefu wa kazi kwenye mgahawa au biashara inayofanana Awe mkweli, mwaminifu, na mwenye maamuzi ya haraka Elimu si lazima, lakini uzoefu ni muhimu Tuma maombi WhatsApp, +255 616 348 095 *Mwisho wa kutuma maombi: 10 Juni 2025*

Comments