TUCASA STU
TUCASA STU
June 4, 2025 at 10:51 PM
💫TUCASA JIMBO KUU LA KUSINI & GLOBAL PCM DAY ⭐Uongozi wa TUCASA STU unakualika kushiriki siku ya PCM kiulimwengu "MISSION WITHOUT BOUNDARIES" JUNE 28TH 2025. 💥💥Majimbo yote matano!! Ndani ya TUCASA STU #tucasa CTF #tucasa LTF #tucasa SHC #tucasa SEC #tucasa ECTC ✍️✍️Panga kushiriki ewe mwanatucasa//kupitia jimbo lako| kanda yako| tawi lako husika 🙏🙏 Kumbuka:✍️ siku hii tutachangia mradi wa ujenzi wa ukumbi wa mikutano TUCASA STUM awamu ya kwanza Tsh.10,000/= kwa kila mwanachama🙏🙏 Living The Mission, Reaching The Nations @TUCASA STU 2025/2026
Image from TUCASA STU: 💫TUCASA JIMBO KUU LA KUSINI & GLOBAL PCM DAY   ⭐Uongozi wa TUCASA STU...
🙏 3

Comments