
TUCASA STU
June 5, 2025 at 07:01 AM
💫TUCASA JIMBO KUU LA KUSINI & GLOBAL PCM DAY
⭐Uongozi wa TUCASA STU unakualika kushiriki siku ya PCM kiulimwengu "MISSION WITHOUT BOUNDARIES" JUNE 28TH 2025.
💥💥Majimbo yote matano!! Ndani ya TUCASA STU
#tucasa CTF
#tucasa LTF
#tucasa SHC
#tucasa SEC
#tucasa ECTC
✍️✍️Panga kushiriki ewe mwanatucasa//kupitia jimbo lako| kanda yako| tawi lako husika 🙏🙏
Kumbuka:✍️ siku hii tutachangia mradi wa ujenzi wa ukumbi wa mikutano TUCASA STUM awamu ya kwanza Tsh.10,000/= kwa kila mwanachama🙏🙏
Living The Mission, Reaching The Nations
@TUCASA STU 2025/2026

❤️
🙏
2