MKEKA wa LEO 🎯⚽
June 7, 2025 at 03:24 PM
*🇬🇪⚽️ GEORGIA vs CAPE VERDE – Mechi ya Kirafiki ya Kimataifa!*
📅 _Jumapili, Juni 8, 2025_
🕒 _Saa 4:00 PM (EAT)_
🏟️ _Ramaz Shengelia Stadium, Kutaisi_
━━━━━━━━━━
*🔴 GEORGIA*
✅ Wameshinda mechi 3 mfululizo
🏠 Ushindi 4 kati ya 6 nyumbani
⚽ Wamefunga mabao 10 katika mechi 3 zilizopita
> Wanatafuta kuendeleza rekodi nzuri ya nyumbani
*🔵 CAPE VERDE*
🟰 Mechi 4 mfululizo bila kupoteza
⚠️ Wamepoteza mechi 5 kati ya 9 za ugenini
> Wanakabiliwa na changamoto ya ugenini dhidi ya wapinzani wenye nguvu
━━━━━━━━━━
*🧾 ODDS:*
🔴 Georgia: 1.70
⚪ Sare: 3.60
🔵 Cape Verde: 4.50
━━━━━━━━━━
🎯 *✅ UBASHIRI WETU (PREDICTION):*
*Georgia Kushinda 🏆 @ 1.70*
> Kutokana na form nzuri ya nyumbani na rekodi ya Cape Verde ugenini, tunatarajia *ushindi wa Georgia*!