Hon. Hemed Suleiman Abdulla
Hon. Hemed Suleiman Abdulla
May 26, 2025 at 10:59 AM
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Ndugu Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma. 📍Dodoma - Tanzania 🗓 26.05.2025

Comments