
Hon. Hemed Suleiman Abdulla
June 3, 2025 at 08:30 AM
Leo tarehe 03.06.2025 nimeshiriki katika Baraza la kumi la wawakilishi, Mkutano wa 19 unaoendelea katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
📍Chukwani - Zanzibar
🗓 03.06.2025