Hon. Hemed Suleiman Abdulla
Hon. Hemed Suleiman Abdulla
June 7, 2025 at 05:42 AM
Leo Tarehe 07 Juni, 2025 nimejumuika na waumini wa dini ya Kiislamu katika Ibada ya Swala ya Eid El- Adhha Kitaifa iliyoswaliwa katika Masjid Taqwa Bambi Wilaya ya Kati Unguja. Eid El Adhha Mubarak , kullu gham waantum Bikhayr. 📍Bambi - Zanzibar 🗓 07.06.2025

Comments