
Hon. Hemed Suleiman Abdulla
June 7, 2025 at 10:48 AM
Mara baada ya kumalizika kwa swala ya Eid el Adhha imejumuika na viongozi mbali mbali, waumini wa dini ya kiislamu na wananchi wa Zanzibar kwenye Baraza la Eid lililofanyika katika Ukumbi wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA) Tunguu Wilaya ya Kati, Mkoa wa Kusini Unguja.
📍Tunguu - Zanzibar
🗓 07.06.2025