
Hon. Hemed Suleiman Abdulla
June 7, 2025 at 02:16 PM
Nimejumuika na viongozi mbali mbali, watoto yatima na wenye mahitaji maalum katika Hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Taasisi ya Pondeza Foundation iliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Beach Villa Maruhubi Mkoa wa Mjini Magharibi.
📍Maruhubi - Zanzibar
🗓 07 Juni , 2025
❤️
1