Hon. Hemed Suleiman Abdulla
Hon. Hemed Suleiman Abdulla
June 10, 2025 at 03:19 PM
Leo tarehe 10.06.2025 nimeanza ziara ya kichama yenye lengo la kuimarisha chama katika Wilaya ya Kati Unguja na itakuwa endelevu kwa Wilaya Zote kumi na moja za Zanzibar. Katika ziara hio nimezungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya Wilaya ya Kati pamoja na kamati za siasa za jimbo na wadi katika Ukumbi wa kituo cha Walimu (TC) Dunga. 📍Dunga - Zanzibar 🗓10.06.2025

Comments