Hon. Hemed Suleiman Abdulla
June 11, 2025 at 03:55 PM
Leo tarehe 11.06.2025, nimeendelea na ziara yangu ya kuimarisha chama cha Mapinduzi katika Wilaya ya Kusini, Mkoa wa Kusini Unguja ambapo nilizungumza na Viongozi wa Halmashauri Kuu ya Wilaya pamoja na Kamati za Siasa za Jimbo na wadi katika Ukumbi Tasaf Kizimkazi Dimbani.
📍Kizimkazi - Zanzibar
🗓 11.06.2025