
Tume ya Madini Tanzania
June 11, 2025 at 08:21 AM
Wizara ya Madini
Tume ya Madini
Jukwaa la Nne la Utekelezaji wa Ushirikishwaji wa Watanzania Katika Sekta ya Madini (LCCF 2025)
Kauli mbiu: Ongezeko la Ushirikishwaji wa Watanzania katika sekta ya madini: Chachu ya Ukuaji wa Uchumi Tanzania.
*Kushiriki: Tafadhali jisajili kupitia, http://lcforum.tumemadini.go.tz*
Mawasiliano: localcontent @tumemadini.go.tz/Simu 0658050500
Eneo: Malaika Beach Resort Hotel, Jijini Mwanza
Tarehe: Juni 16 - 18, 2025