Pamoja Mapendano Serge PMS
Pamoja Mapendano Serge PMS
June 8, 2025 at 06:59 AM
Biblia. 2 Timotheo 3:16-17 [16]Kila andiko, lenye pumzi ya Mungu, lafaa kwa mafundisho, na kwa kuwaonya watu makosa yao, na kwa kuwaongoza, na kwa kuwaadibisha katika haki; [17]ili mtu wa Mungu awe kamili, amekamilishwa apate kutenda kila tendo jema.

Comments