
Exim Bank Tanzania
May 19, 2025 at 04:16 PM
Wafanyakazi Loan ni njia ya kufikia ndoto zako binafsi au za kibiashara. Utapata mkopo huu kwa uharaka, masharti nafuu na urahisi wa kulipa marejesho.
✅ Mkopo kuanzia TZS 200,000 hadi TZS 200,000,000
✅Marejesho nafuu hadi miezi 120
Tembelea ESS Portal kisha chagua Exim Bank.
Tovuti: https://www.eximbank.co.tz/en/personal/loans/wafan yakazi-loan
Piga simu bila malipo kwa 0800 780 111 kwa maelezo zaidi.
🔥
1