Exim Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania

8.5K subscribers

Verified Channel
Exim Bank Tanzania
Exim Bank Tanzania
May 20, 2025 at 05:46 AM
*Pongezi Prof. Mohammed Janabi!* Exim Bank kama mdau wa sekta ya Afya tunatoa pongezi za dhati kwa Prof. Mohammed Janabi kwa kuteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Uongozi wako, weledi na kujitolea ni fahari kwa taifa na bara la Afrika. 👏 Hongera kwa hatua hii kubwa.
Image from Exim Bank Tanzania: *Pongezi Prof. Mohammed Janabi!*  Exim Bank kama mdau wa sekta ya Afya...
👏 4

Comments