Exim Bank Tanzania
May 20, 2025 at 12:09 PM
Weka mfumo wa Lipa Chapchap kwenye biashara yako ili urahisishe malipo ya wateja wako, na pia uweze kupokea pesa nyingi bila hatari ya kupoteza au kuchanganya mahesabu, na pia hautakuwa na changamoto ya chenchi tena. Huduma hii ni bure kujiunga na unaweza kujiunga mwenyewe kupitia website yetu.
Sajili kupitia https://www.eximbank.co.tz/sw/personal/ways-to-bank/lipa-chapchap leo au piga simu bure kupitia 0800 780 111
🔥
1