Exim Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania

8.8K subscribers

Verified Channel
Exim Bank Tanzania
Exim Bank Tanzania
May 22, 2025 at 08:59 AM
Safari ya Amboseli imeiva! Hongera kwa Bi. Manjeet K. Mair aliyeshinda nafasi ya kutazama fainali ya UEFA Champions League PSG dhidi ya Inter Milan, live katikati ya mbuga ya wanyama ya Amboseli! Bi. Manjeet amepata ushindi huu wa kipekee kupitia matumizi ya Exim Mastercard yake kulipia huduma mbalimbali kama ununuzi, malipo ya bili, na mengineyo. Na si yeye peke yake ataambatana na wapendwa wake watatu katika safari hii ya kipekee yenye mandhari ya kuvutia na burudani ya kiwango cha dunia. Ingawa ofa hii ya UEFA sasa imefikia tamati, bado una nafasi ya kufurahia ofa nyingine nyingi kila unapotumia Exim Mastercard yako. Kila unapotumia Exim Mastercard yako kufanya manunuzi au kulipia huduma, unajiweka katika nafasi ya kunufaika na ofa za kipekee ikiwemo punguzo maalum kwa safari za ndege kupitia Emirates, Kenya Airways na nyingine nyingi duniani. Tumia Exim Mastercard kila matumizi yana nafasi ya ushindi!
Image from Exim Bank Tanzania: Safari ya Amboseli imeiva! Hongera kwa Bi. Manjeet K. Mair aliyeshinda...
🔥 🙏 2

Comments