Exim Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania

8.5K subscribers

Verified Channel
Exim Bank Tanzania
Exim Bank Tanzania
May 23, 2025 at 06:53 AM
Fursa kwa Wanawake Wajasiriamali! Sasa tunakuletea awamu nyingine ya Programu ya Uwezeshaji Wanawake (WEP) - mafunzo ya wiki 6 ya kukuza mawazo ya biashara katika sekta ya Kilimo Biashara. Washiriki watakaokamilisha programu hii watapata fursa mbalimbali ikiwemo kupata mtaji wa biashara kwa watakao fanya vizuri pamoja na mikopo kutoka Exim Bank Tanzania. Mafunzo yatafanyika Dar es Salaam. Tuma maombi kabla ya tarehe 26 Mei 2025! https://go.eximbank.co.tz/Exim_WEP
Image from Exim Bank Tanzania: Fursa kwa Wanawake Wajasiriamali!  Sasa tunakuletea awamu nyingine ya ...

Comments