
Exim Bank Tanzania
May 27, 2025 at 09:58 AM
Je, wewe ni watumishi wa serikali unayetafuta mkopo nafuu na wa haraka?
Hamisha mkopo wako kutoka taasisi nyingine kuja Exim Bank na ufurahie huduma bora zaid.
Faida unazopata:
✅ Mkopo kuanzia TZS 200,000 hadi TZS 200,000,000
✅ Kipindi cha marejesho kifikia hadi miezi 120
✅ Mchakato wa haraka – fedha mikononi mwako kwa wakati!
Tembelea ESS Portal, chagua Exim Bank, na fuata hatua rahisi kupata mkopo wako.
📞 Kwa msaada au maelezo zaidi, tupigie bila malipo kupitia 0800 780 111.
