Exim Bank Tanzania

Exim Bank Tanzania

8.5K subscribers

Verified Channel
Exim Bank Tanzania
Exim Bank Tanzania
June 5, 2025 at 02:31 PM
Changia Damu, Okoa Maisha – Ijumaa hii! Tunawaalika Watanzania wote kushiriki katika zoezi la uchangiaji damu SIKU: Ijumaa, tarehe 6 Juni, MUDA: Kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 11:00 jioni. Zoezi hili litafanyika katika mikoa mbalimbali nchini: 📍 Dar es Salaam – Exim Bank Tower, Ghana Avenue & Kaburi Moja (Clocktower) 📍 Kahama – Tawi la Exim Bank, Soko la Wakulima 📍 Dodoma – VETA & Kizota 📍 Mtwara – Exim Bank Mtwara Branch, Agha Khan Road 📍 Mbeya – Exim Bank Mbeya Branch, Mwanjelwa Uchangiaji huu ni sehemu ya mpango wetu wa uwajibikaji kwa jamii kupitia Exim Cares, kwa kushirikiana na Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS). 🩸 Changia damu leo, okoa maisha kesho.
Image from Exim Bank Tanzania: Changia Damu, Okoa Maisha – Ijumaa hii!  Tunawaalika Watanzania wote k...

Comments