
THE JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
June 6, 2025 at 08:55 PM
Na btw mimi huwa nawaambia no matter how tight the relationship is. Hata ikuwe tight kama my mumamas . DO NOT! and I repeat, DON'T spill all the beans ati you are opening up. That's the greatest own goal, unaeza jipiga mwenyewe kama vile Onana hufanyia Manchester United😂
Mimi nakumbuka niliwaiopen up kwa msichana nikamwambia vile nilikuwa nakojoa kwa kitanda hadi nikiwa form 2 buana siku tulikosana na huyo mama tukapatana soko nikasikia, "Wewe kikojozi urudishe boxer ya brother yangu ydnye nilikubuyia valentines. Na uoshe isikuje ikinuka mkojo!" nakuambia rafiki ilibidi nihame usiku hiyo area ata niliachia mama mboga 10 yangu ya ovacado😭
Yaani Mungu baba nyasaye wanje naomba utuepushe na wasichana wakora na huyu wa sai pia asiingie tena na ikiezekan huyo mzee mganga asifike 2027 kama hatujakula pilau juu wakiungana na William Sialiiba watatuingiza nyuma kama vile walifanyia huyo Tanzania bila lubrication!!!