
THE JKUAT LENS:::Quad Chronicles...juja Vibes💯🔥
June 9, 2025 at 06:39 PM
*Kifo Kisimani chronicles.*
Askari 1: Tumemkamata mshukiwa.
Askari 2: Hiyo hatua ya kwanza. Ya pili ni lazima auawe kwa kuudhalilisha utawala wa Mtemi Bokono Mtandaoni. Chanzo cha kifo chake lazima kiaminike na Wana Butangi.
Askari 1: Niko na wazo nzuri. Ripoti iandikwe kwamba mshukiwa alijiua katika seli kwa kugongesha kichwa chake kwenye ukuta.
Askari 2: Hilo ni wazo nzuri.😳😳
