Tech & Media Convergency (TMC)
Tech & Media Convergency (TMC)
May 21, 2025 at 09:25 AM
#digitalleo ni kipindi kipya maalum kilichoandaliwa kwa ushirikiano kati ya TMC na Highlands FM, Mbeya kwa ajili ya wewe msikilizaji wa Mbeya! Kupitia kipindi hiki, tunakupeleka kwenye safari ya maarifa ya kidijitali kutoka matumizi salama ya mitandao, fursa za teknolojia, hadi namna ya kujenga maisha bora kupitia ulimwengu wa kidijitali. Usikose! Sikiliza #digitalleo kila Ijumaa saa 3 kamili Asubuhi kupitia Highlands FM Kigoma. #tmc #tdc2025 #mil #tanzaniadigitalcollaboration
👍 1

Comments