
MkalamaDC
June 3, 2025 at 10:51 AM
https://www.instagram.com/reel/DKb4JofNNTW/?igsh=anV1eGhuemxwZW8z
WANAFUNZI NDUGUTI WAJIVUNIA VIFAA VYA TEHAMA
Wanafunzi wa shule ya Awali na Msingi Nduguti wilayani Mkalama wakizungumza jinsi vifaa vya TEHAMA vinavyowasaidia katika masomo yao.