Hussein Ali Mwinyi

Hussein Ali Mwinyi

105.0K subscribers

Verified Channel
Hussein Ali Mwinyi
Hussein Ali Mwinyi
June 2, 2025 at 03:41 PM
Nimekutana na Balozi Mdogo mpya wa China, Mhe. Li Quanghua, aliyefika Ikulu Zanzibar leo tarehe 02 Juni 2025, kwa ajili ya kujitambulisha rasmi pamoja na ujumbe wake.
🙏 👍 ❤️ 🇹🇿 7

Comments