Hussein Ali Mwinyi
June 6, 2025 at 02:05 PM
Nimeitembelea familia ya Marehemu Sheikh Jabir bin Haydar bin Jabir Al-Farsy nyumbani kwao Kikwajuni, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi, kwa ajili ya kutoa salamu za rambirambi na kuwafariji familia hiyo kufuatia msiba wa Sheikh Jabir, aliyefariki dunia tarehe 28 Mei 2025.
❤️
🙏
4